[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki.
Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni msongo wa mawazo baada ya June 28,2020 usiku kujaribu kumbaka Binti yake wa miaka 10 na kushindwa kutimiza lengo.
View attachment 1495107
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.... Kumbaka binti yake? Angalau jinga moja limepungua duniani!
Point of correction, kuwa na mke bila Mungu ni matatizoHuwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.
Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.
Kigogo huyoHuyo ni mkenya? Amevaa bendera ya kenya
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.
Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.
yawezekana mkuu, maana haiwezekani mwanao wa dam kabisa upate ujasiri wa kumla dah!Ni roho ya lipepo linalokuja katika mwili wa mwanadam.tuzidi kujiombea Rehema pamoja na vizazi vyetu kila uchwao.hali ni mbaya mno