Mkazi wa Singida atupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na bunduki

Mkazi wa Singida atupwa jela miaka 30 kwa kukutwa na bunduki

KATI 2

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
214
Reaction score
20
Mkazi mkoani Singida ametupwa jela miaka 30 na faini ya sh milioni 10 kwa kukutwa na na bunduki akidaiwa kujiandaa kufanya ujangili kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarangile, wilayani Babati:rockon:
 
Mkazi mkoani Singida ametupwa jela miaka 30 na faini ya sh milioni 10 kwa kukutwa na na bunduki akidaiwa kujiandaa kufanya ujangili kwenye hifadhi ya Taifa ya Tarabgile, wilayani Babat:rockon:

Ukiweza tuwekee hukumu tuitafakari maana hawa District magistrates, Mhhhh!!! hawaaminiki kwa kukaa na kusoma sheria inasemaje. (sio wote samahani).
 
Back
Top Bottom