Way to go woman......akubadilishe jina kakuzaa au kakununia? :]
Haya ni maneno ya hapa hapa jf... kupiga mchokoo teke..mama Maria Nyerere,Anna Mkapa,Siti Mwinyi,Laura Bush nk...leo ukiolewa na Bakhresa utataka tz yoote ikujue 'mamaa azam' atakayeita gaijin atajuuta kukujua...ndio zenu hizo tunamijuweni nyinyi..
Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?
Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.
Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji
Gaijin Dii
Haya mambo yameanza juzi juzi tu, Enzi za mwalimu kulikua hakuna ubishi baada ya ndoa tu jina linabadilika. Siku hizi ndo ni "very risk", sasa wanaona watabadili jina mara ngapi? Leo Pesambili baada ya miezi umeachwa waolewa tena unakua Mrs Karata and the list goes on!
mie sihofii hilo but cjui kwann cpendi kabisa kubadilisha jina, wala ctabadili kabisa.

Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?

Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.

Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji
Sio kwamba ni bora ila ni kioo ktk jamii...utamwacha baba yako utaambatana na mumeo,mtakuwa mwili mmoja=utabeba jina la mumeo,utamzalia watoto kuendeleza ukoo wa mume..tena ww ninavyokuona usipoitwa jina la mumeo utaandamana..

mie kuwa na jina langu yani wazazi juzijuzi limenisumbua sana balozi fulani hapa, yaani doc zangu jina la wazazi wangu, passport jina la mume, yaani ilibidi nihangaike saana kuanzia siku hiyo nimeanza mkakati wa kuweka kila kitu jina la mume sipendi nije pata usubufu kama ule tena
Ndio maana wanawake wengine hawataki kubadili, manake vyeti vyake vyote vina jina la baba au ukoo, ghafla analazimika kubadili kuwa jina la jipya. Na akipata usumbufu ni yeye mwanamke anaepata, ya nini?
Gaijin Dii
Oo-ooo....nifanyie msaaada basi PAW anibadilishe kabisa :]
Hahahaaa kwa jinsi Paw alivyo mshobokaji kwa mashori nina uhakika ukimcheki kwa PM ombi lako atalitimiza papo hapo. Mimi hawezi kunisikiliza yule....
Ila usisahau kumsifia ukimtumia hiyo PM....mwambie unampenda na blah blah nyingine kama hizo halafu utaona mwenyewe...

Huyu PAW inaelekea unamfahamu vizuri NN
Mbona majeshi wengi mtaani leo?