Si umeona eeeh? This is so out of the ordinary! Especially for the Snail to track me down all the way over here....things that make you go hmmmmm.....
Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.
Kwa kuwa hao ulowataja ndo wanawake bora duniani au?
Kuna kubadili kwa kuridhia, kupenda na kutaka sio mwanamme anajifanyia tu Kama vile wewe mwanamke huna kauli.
Na hiyo sheria inayompa mwanamme kufanya hivyo bila ya consent ya mwanamke ni ya kidhalilishaji

Way to go woman......akubadilishe jina kakuzaa au kakununua? :]
Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.
Ni dhana ya mwili mmoja!!
Mie pia maisha yangu niliyoishi ya ndoa natumia jin langu na la wazazi na hata vyuo nimesoma baada ya kuolewa ila sikubadilisha, ila kuna wakati unapata usumbufu sanasana hasa kama ni mtu wa kusafirisafiri, ila kuna mtu kanishauri niende kwa lawyer anaweza nipa ushauri mzuriNdio maana wanawake wengine hawataki kubadili, manake vyeti vyake vyote vina jina la baba au ukoo, ghafla analazimika kubadili kuwa jina la jipya. Na akipata usumbufu ni yeye mwanamke anaepata, ya nini?

katika kitu nachukia duniani ni sir name yangu i wish atokee wa kuibadilisha

katika kitu nachukia duniani ni sir name yangu i wish atokee wa kuibadilisha

Hivi hiyo dhana ya mwili mmoja mwisho wake ni wapi?

Dhambi akifanya mmoja mnagawana nyote pia?

Naunga mkono hoja.
Mwanamke hana thamani hata ya kutumia jina lake kwa wale wanaowabadilisha majina, halafu wanawake wengine wanaona sifa kubadilishwa jina. Hawajui kama ni dharau kwake na kwa asili yake.
Way to go woman......akubadilishe jina kakuzaa au kakununua? :]
uko sawa shosti.Ana haki kabisa ya kukataa...
Huyo mwanaume nae anaonekana mbabe kweli kubadilisha jina la mwenzake bila kumshirikisha!!
Kuhusu mume kuchukua la mke ..,well wakikubaliana wote I guess it‘s owkey! Binafsi hata sijui ikitokea kwangu kama ntakubali ama ntakataa!