Inasikitisha sana.Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki.
Mwanamke huyo ameacha watoto wanne bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wao lakini wazazi wao hawapo tena dunia.
R.I.P KWA WOTE WALIPOTEZA MAISHA YAO ILI WATU WACHACHE WAJINUFAISHE NA HII NCHI.
Huyo Mungu angekuwepo, Kusingekuwa na mabaya Duniani.Mungu yupo
Ingefaa hao watoto wasaidiwe na serikali,Mwanamke huyo ameacha watoto wanne bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wao lakini wazazi wao hawapo tena dunia.
Nahisi kuna visa vingi sana vya aina hii vinavyotokana na matokeo ya Oktoba 29 ila haviripotiwi, kuna mengi sana yaliyosababishwa na yale mauaji ya kikatili.Mwanamke mmoja aishie nyasaka jijini Mwanza amekutwa kajinyonga kutokana na msongo wa mawazo baada ya kumpoteza mumewe ambaye alipigwa risasi tarehe 29 October na kufariki.
Mwanamke huyo ameacha watoto wanne bado wadogo wanahitaji malezi ya wazazi wao lakini wazazi wao hawapo tena dunia.
R.I.P KWA WOTE WALIPOTEZA MAISHA YAO ILI WATU WACHACHE WAJINUFAISHE NA HII NCHI.
Polisi wameminya vyombo vya habari, ata mwananchi wa kawaida anatishwa asiripoti chochote wanazika kimyakimyaNahisi kuna visa vingi sana vya aina hii vinavyotokana na matokeo ya Oktoba 29 ila haviripotiwi, kuna mengi sana yaliyosababishwa na yale mauaji ya kikatili.
Mungu awapumzishe mahali pema, nawaonea huruma watoto ambao tayari wameshapoteza dira ya maisha!
Wapo waliojiua mume na mke baada ya mtoto wao waliompata kwa ivf kupigwa risasi dirishani na hawa mashetani.Nahisi kuna visa vingi sana vya aina hii vinavyotokana na matokeo ya Oktoba 29 ila haviripotiwi, kuna mengi sana yaliyosababishwa na yale mauaji ya kikatili.
Mungu awapumzishe mahali pema, nawaonea huruma watoto ambao tayari wameshapoteza dira ya maisha!