rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
riwa asante kwa uchanganuzi. rakeyescarl, kwa issue kama hiyo wanahitaji counseling ili wajue wataishije. kuna some limits, lakini wanaweza kujamiiana kwa kutumia condoms wakati wote. ila ushauri wa kitaalamu ni wa muhimu, waambie waende vtc. tbc1 waliwahi kuonesha couple moja, mwanamke alikubali kuolewa na jamaa+ wakazaa 3 kids. she is still -ve.

Je, wanaweza kulana denda au itaongeza probability ya yule ambaye ni -ve kuambukizwa?
Thank you King'asti kwa ushahidi...mara nyingi wanaume wanakulaga kona. Ni wanaume wawili tu kati ya discordant couples karibu 30 nilizowahi deal nazo walibaki na partner. Kuna mmoja mkewe aligundulika baada ya kujifungua, aliumwa sana..mumewe alikuwepo 24/7 akimhudumia mama na mtoto mchanga japo ndugu walikuwa wanachonga mpaka kutaka kunihonga kama Daktari nimshauri ndugu yao aachane na huyo mama, nikawatimua kama mbwa! unfortunately yule mama alifariki kama miezi 7 baadae, jamaa is my friend mpaka sasa, he is still -ve and thank god the kid is now 4 years and -ve!
Couple nyingine walikuwa walokole walitaka kuoana, madad akawa +ve na mkaka -ve....lakini huyu mkaka jasiri alikubali kumuoa akiamini yesu atawapigania..akaoa na nikawafuatilia wakifuata masharti na aliendelea kuwa -ve kwa miaka mi2, then wakataka kuzaa...nikawashauri wafanya in-vitro frtilization (IVF), yai linarutubishwa bila tendo la ndoa...kaka akakataa, akasema atampa mkewe ujauzito kwa njia ya asili (tendo la ndoa), series of counselling zikashindwa kutokana na imani yake ya kiroho. Akajaribu kumpa mimba mkewe lakini haikuwa rahisi kihivyo, wakarudia na kurudia, na miezi 6 baadae kaka akawa +ve. Tulipompa majibu alichanganyikiwa na akapotea sikumuona tena clinic, na jitihada zangu kumtafuta kwa contact nilizokuwa nazo hazikuzaa matunda...it is one of my saddest story in practising clinical medicine.
It is a challenge kwa kweli, hasa linapokuja suala la kuzaa. King'asti hiyo couple yako watianaje mimba 3?

Couple nyingine walikuwa walokole walitaka kuoana, mdada akawa +ve na mkaka -ve....lakini huyu mkaka jasiri alikubali kumuoa akiamini yesu atawapigania..akaoa na nikawafuatilia wakifuata masharti na aliendelea kuwa -ve kwa miaka mi2, then wakataka kuzaa...nikawashauri wafanya in-vitro frtilization (IVF), yai linarutubishwa bila tendo la ndoa...kaka akakataa, akasema atampa mkewe ujauzito kwa njia ya asili (tendo la ndoa), series of counselling zikashindwa kutokana na imani yake ya kiroho. Akajaribu kumpa mimba mkewe lakini haikuwa rahisi kihivyo, wakarudia na kurudia, na miezi 6 baadae kaka akawa +ve. Tulipompa majibu alichanganyikiwa na akapotea sikumuona tena clinic, na jitihada zangu kumtafuta kwa contact nilizokuwa nazo hazikuzaa matunda...it is one of my saddest story in practising clinical medicine.

It is a challenge kwa kweli, hasa linapokuja suala la kuzaa. King'asti hiyo couple yako watianaje mimba 3?

me i got ths frnd of mine wamekaa na demu miaka sita bt Men Ni -tive and the gal+positive the guy anataka kuoa mke _tive bt stil anampenda +tive one

Dr Riwa inahitaji uwe na roho ngumu sana kubaki na mwenzio pale anapogundulika kwamba ni muathirika. Nimeshasikia waathirika wengine hutoa hata ruhusa kwa yule ambaye si muathirika kwenda nje ya ndoa ili kuweza kutimiziwa matamanio yao ya kimwili. Hii kitu pamoja na kuwa kuna dawa za kurefusha maisha inatisha sana kusema kweli.
Asanteni wadau wana JF,nioneeni huruma na muoneni huruma Mzee ambaye ni -ve,baada ya kumpa printed comments Zenu hapa na contacts za Dr.Riwa na King'asti,si akamwaga kilio- kweli kweli,namuuliza ni nini? rafiki hakusema lolote, anaishia kusema why me, ndio nilichoambulia na hakusema tena akaingia bedroom nikaondoka-hii dunia,hiiiii.
Tuombeane tu. Labda what I did was wrong labda sikupashwa kumpa asome ilibidi nitafute maneno laini zaidi?Maana personally niliona yamesemwa in a friendly way-kilichomliza sikukijua,ASANTENI SANA.
Asanteni wadau wana JF,nioneeni huruma na muoneni huruma Mzee ambaye ni -ve,baada ya kumpa printed comments Zenu hapa na contacts za Dr.Riwa na King'asti,si akamwaga kilio- kweli kweli,namuuliza ni nini? rafiki hakusema lolote, anaishia kusema why me, ndio nilichoambulia na hakusema tena akaingia bedroom nikaondoka-hii dunia,hiiiii.
Tuombeane tu. Labda what I did was wrong labda sikupashwa kumpa asome ilibidi nitafute maneno laini zaidi?Maana personally niliona yamesemwa in a friendly way-kilichomliza sikukijua,ASANTENI SANA.
Kuna mtu wa karibu yangu sana ameish na mke wake kwa miaka 8 na wamezaa mtoto hawajawah tumia kondom lakini mme ni negative mke ni postive na mtoto ni negative
Pole sana Rakeyescarl...hii kitu haiko easy kama tunavyojadili hapa, ni kwamba hayajatukuta tu..tunaweza hata sisi tunaotoa ushauri huu, japo ni sahihi kabisa na tunajua hivyo...yakitukuta tukareact differently.
Anahitaji support rafiki yako...na kwa kweli anahitaji kuanza kwenda kwenye counselling sessions na huyo mpenzi wake. Nadhani hajawahi kwenda naye, au labda alikuwa ana uamuzi wake kichwani ambao alikuja hapa kupata 'go ahead' na kashuriwa tofauti. Ila ukweli ni kuwa, alichoshauriwa hapa kinatokana na facts ambazo zipo kisayansi (king'asti amecopy malink kadhaa kwenye hii thread anaweza soma zaidi).
Your friend needs you, and the good way for being there for him is not to tell him what he wants to hear...but to tell him the facts, and help him to deal with it. Mshauri awe anafuatana na mpenziwe kwenda kwa washauri nasaha.