mbwana semsimbazi
Senior Member
- Sep 5, 2013
- 196
- 202
*Jamaa wakati anakata roho huku mkewe amemshikilia alisema:*
Mke wangu, mimi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki na mamayako.
Mke akamnong'oneza: Nayafahamu yote, ndio maana nimekupa sumu ufe usije ukatembea adi na wanao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]