Mke amchoma kisu mumewe kisa dua

Mke amchoma kisu mumewe kisa dua

Mke amemchoma mumewe kisu baada kusikia mumewe akitaja majina ya wanawake 'god thanks 4 ur grace,joy,mercy thanks 4 mkng me to be happy' pumbav wnawake wote hao..!!
Huyo mwanamke hataki kupandishwa cheo cha kuitwa biMkubwa? wenzake wanalilia hivyo vyeo kutoka kwa waume zao hawavipati. Sana sana wahia kuwepo michepuko isiyo lasmi
 
Back
Top Bottom