mke amkimbia kwa sababu ya kuwa na uume mdogo.tumsaidie kivp wanajf??

mke amkimbia kwa sababu ya kuwa na uume mdogo.tumsaidie kivp wanajf??

nshimbah

Senior Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
111
Reaction score
14
habari wanajf.ninamdogo wangu anatatizo kumbwa sana kama mwanaume .ameowa kama mara 3 .tatizo kumbwa ni anauume mdogo sana na wanawake wote wanamkimbia kutokana na ile.sasa sijui tumsaidie vp?? aliniomba ushauri nikamwambie aende kwa wachina bila mafanikio yoyote.ila nilisikia kuna mazoezi yanayoweza kusaidia kuongeza uume au dawa ngani atumie ili aishi vizuri kwenye ndoa yake??
 
Huo uume ni mdogo kivipi? Yani mfupi mwembamba au mfupi mnene?
 
ni uume mdogo sana kwa kila kitu.mkewe alinilalamikia kwamba mumeo hafikishi kbs kutokana uume mdogo.tukajaribu sana kulida ndoa yao lkn yalimshinda na kuondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.sasa dogo amechanganyikiwa sana.ameamua kunywa pombe tu kila cku.naomba msaada wenu wakuu.nimsaidie dogo
 
Aende pande za magomeni chama cha waganga wa jadi mbona watafurahi na roho zao kama si kumkimbia tena coz atakuwa kama anawatoa bikiraaa ya ukubwani
 
Huo ni uoade mmoja. Upande wa pili pia zipo oversize na bariidi. Ukikutana nayo inaweza kukuondolea confidence kumbe tatizo si lako. Vinginevyo waone wamasai hapo polisi simbazi kariakoo wakurekebishie.
 
ni uume mdogo sana kwa kila kitu.mkewe alinilalamikia kwamba mumeo hafikishi kbs kutokana uume mdogo.tukajaribu sana kulida ndoa yao lkn yalimshinda na kuondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.sasa dogo amechanganyikiwa sana.ameamua kunywa pombe tu kila cku.naomba msaada wenu wakuu.nimsaidie dogo

Safi sana, mpenzi pombe hana wivu wala halalamiki, na shemeji yetu chupa wala hana majungu.
 
Awe muwazi toka anatongoza. Aseme kabisaa nna kibamia inchi 2.7. Wajitenge kama kondoo na mbuzi. Then interview ya pili ifuate ya mambo ya tabisa sijui na dini.
Atawafanyiaje vetting ili kujua size za uke wao
 
By muonekano atamjuaje kama maumbile ya huyu ni madogo na ya huyu ni makubwa?
Au kuna vigezo hutumika kutambua?

maana nilisikia wanawake wafupi pia maumbile yao ni madogo, lakini hii theory si ya kweli wapo wafupi na maumbile yao ni makubwa..

Aoe mwanamke mwenye uke mdogo.
 
Awe muwazi toka anatongoza. Aseme kabisaa nna kibamia inchi 2.7. Wajitenge kama kondoo na mbuzi. Then interview ya pili ifuate ya mambo ya tabisa sijui na dini.

hahaha 'nina kibamia cha inchi 6'
 
habari wanajf.ninamdogo wangu anatatizo kumbwa sana kama mwanaume .ameowa kama mara 3 .tatizo kumbwa ni anauume mdogo sana na wanawake wote wanamkimbia kutokana na ile.sasa sijui tumsaidie vp?? aliniomba ushauri nikamwambie aende kwa wachina bila mafanikio yoyote.ila nilisikia kuna mazoezi yanayoweza kusaidia kuongeza uume au dawa ngani atumie ili aishi vizuri kwenye ndoa yake??

Keshapona Huyo, tembelea huku: Enlarge Penis Naturally – Exercise Review | Enlarge Penis Naturally
 
Atafute mzizi unaitwa Ubombo wamasai wanao kwa urahisi. Utumie kutafuna na karanga. Ila mbolea yake ni kugegeda baada yakuutafuna kitu ambacho watu wengi hawakifahamu.

Ukumbuke kutuletea feedback baada ya kijana kutumia hii kitu.
 
Back
Top Bottom