malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Mkoa gani mkuu?Mke alikua na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito,baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4,baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu a,anakua anaumiaa alafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu nauvimbe masaa3 anapaka mafuta yanazi panapoa nauvimbe kusinyaa,,
Sasa hii Hali imemtokea mara zaid ya 7 katika mwaka
Majuzi likizo alikua dar wakat anataka kutoka kurud mkoani Hali ikamrudia,ikabid aende muhimbili akaonana nadr colman ,akaandikiwa ultrasound majibu yakawa anahernia kuwa misuli imetanuka,akaandikiwa operation bahat mbaya jioni Yale akawa anasafar ya kurud
Sasa karud mkoani Hali imejirudia nauliza wakuu mkoani wanaweza fanya operation zatumbo kama hivo kwa kina mama wenye hernia? Au ndo mpaka muhimbili
Naje operation yake huwa ikoje ya hernia kwa kina mama
Mkuu alipewa maelekezo muhimbili bahati mbaya jioni Yale akawa nasafari,daktar akamwambia utafanyiwa ata siku nyingine we nenda,Sasa karud mkoani kaka wiki tatu hali imejirudia tenaSasa daktari amepata,na ameshampa maelekezo,na hapo alipopewa maelekezo ni hospital means atapatiwa matibabu bila shida.
Tatizo lipo wapi sasa hadu unakuja kuuliza tena kama mikoani kuna huduma?
Nimekuja humu kujua je kwa hospital za mkoani wanaweza kufanya operation za hernia kwa kina mamaUshaambiwa ana hernia bado umekuja jf au unataka afanyiwe operation humu humu mwenzetu una mahaba na jf
Situmeamnishwa muhimbili ndo Kila kitu. Mkuu, Kwani Muhimbili haipo mkoani??? 🤔 🤔
. Hernia ni ugonjwa wa kawaida tu, toa ridhaa mgonjwa atibiwe.
Bosi usikubali kumfanyia mkeo operation nje jiji la Dar es Salaam. Hiyo issue kama walioona Muhimbili arudi hapo hapoMke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4
Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba
Hali ikitokea anakaa katika maumivu nauvimbe masaa3 anapaka mafuta ya nazi panapoa na uvimbe kusinyaa
Sasa hii Hali imemtokea mara zaidi ya 7 katika mwaka
Majuzi likizo alikuwa Dar wakati anataka kutoka kurudi mkoani Hali ikamrudia, ikabid aende Muhimbili akaonana na Dkt. Colman, akaandikiwa ultrasound majibu yakawa ana hernia kuwa misuli imetanuka, akaandikiwa operation bahati mbaya jioni Yale akawa ana safari ya kurudi
Sasa karudi mkoani Hali imejirudia
Nauliza wakuu mkoani wanaweza fanya operation za tumbo kama hivo kwa kina mama wenye hernia? Au ndo mpaka Muhimbili
Je, operation yake huwa ikoje ya hernia kwa kina mama?
Sasa hapo jambo la busara ni kupata pesa mkatie tiketi aidha ya ndege au kama ni basi basi arejee haraka afanyiwe upasuaji wa haraka.Mkuu alipewa maelekezo muhimbili bahati mbaya jioni Yale akawa nasafari,daktar akamwambia utafanyiwa ata siku nyingine we nenda,Sasa karud mkoani kaka wiki tatu hali imejirudia tena
Mgonjwa alivoingia tu kwa Dr living colman kumuangalia tu tumbo akamwambia we unahernia hii ndo kwenda kwenye kipimo ikaja majibu hivo hivoBosi usikubali kumfanyia mkeo operation nje jiji la Dar es Salaam. Hiyo issue kama walioona Muhimbili arudi hapo hapo
TaboraMkoa Gani?
Mrejeshe tu Dar and why ulimharakisha kurejea huko mkoani wakati angeweza fanyiwa upasuaji huku huku Dar, nimeshindwa kuelewa why ulikubali arudi tena huko?Nimekuja humu kujua je kwa hospital za mkoani wanaweza kufanya operation za hernia kwa kina mama
. Nani amekuaminisha??Situmeamnishwa muhimbili ndo Kila kitu
Kama ni Tabora, kuna kitete hospital hapo njia ya kwenda kwa mkuu wa mkoa, kuna malolo hospital kule chini station train , au unaweza mpeleka Bugando hospital pale huduma zao ni zuri sana kwa Sasa.Tabora
Sasa hapo jambo la busara ni kupata pesa mkatie tiketi aidha ya ndege au kama ni basi basi arejee haraka afanyiwe upasuaji wa haraka.
Pesa ipo hakuna shida yoyote ya pesaArudi Dar.
Alafu usimcheleweshe kama pesa ipo
Kwakitete mmmhKama ni Tabora, kuna kitete hospital hapo njia ya kwenda kwa mkuu wa mkoa, kuna malolo hospital kule chini station train , au unaweza mpeleka Bugando hospital pale huduma zao ni zuri sana kwa Sasa.