malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
- Thread starter
-
- #21
Kuingia muhimbi kweli process ndefu ila nilifanya kwa siku hiyo hiyo alimuona daktar na siku hiyo hiyo akapimwa. Nani amekuaminisha??
Muhimbili ina process ndefu sana, + hongo juu.
. Hernia ni tatizo dogo sana..
Hernia ni operation ndogo,,,,, nenda kitete wanafanya vzr,,,, hata under locol ni chap 🫡
OK, ludi hapo hapo MNH, ukapate huduma mkuu..... Uhai ndo Kila kitu.Kuingia muhimbi kweli process ndefu ila nilifanya kwa siku hiyo hiyo alimuona daktar na siku hiyo hiyo akapimwa
Sasa mbona shemeji yetu hadi saa hii hajapata huduma mzee,hebu mpandishe usafiri kesho chapu umlete muhimbili apatiwe matibabu.Pesa ipo hakuna shida yoyote ya pesa
Ngoja nifanye hivo mkuuSasa mbona shemeji yetu hadi saa hii hajapata huduma mzee,hebu mpandishe usafiri kesho chapu umlete muhimbili apatiwe matibabu.
Mikoa unazungumzia ipi maana hata kcmc na bugando ziko mikoani, umejaribu mkoa gani wakashindwa? Ameshaenda hiyo mikoani na akapewa jibu gani?Nimekuja humu kujua je kwa hospital za mkoani wanaweza kufanya operation za hernia kwa kina mama
Fanya chap,mpandishe ashuke dar mpange appointment na daktari wafanye kazi yao.Ngoja nifanye hivo mkuu
Arudi Dar, MuhimbiliTabora