Habari za majukumu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyojielea, ninahitaji kuwa na mke ilituweze kusaidiana kujenga familia bora.
Sifa za mtu ninayemtafuta:
- Awe wife material (mchapa kazi n.k)
- Awe ana elimu kuanzia Diploma angalau
- umri kuanzia miaka 27 hadi 33
- Urefu wastani (usiwe mfupi sana)
- Umbo wastani
- Rangi yoyote (weupe mtapewa kipaumbele)
Meningine tuta zungumza PM
Sifa Zangu:
- Husband material
- Elimu.- degree
- Umri 36
- Urefu 185 cm
- umbo watsan (kg 90)
- Rangi.- Mweusi (sio ule wa kiwi lakini)
- Mwajiliwa sekta binafsi na mjasilia mali (uwezo wa kutunza 1m upo)
Nawasilisha kwa walio serious