Mke Anahitajika haraka

selemangrace346

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Posts
463
Reaction score
634
Habari wakuu?Npo serious Nahitaji binti wa kuoa, itapendeza akiwa mwalimu age (20-26) aje tufanye maisha, binafsi mm n mfanyakaz serikalini. Itapendeza zaidi akiwa mkoa wa mbeya au mikoa ya jirani. Ukiwa tayar please nchek inbox tuyajenge.
. . Asanteni
 
Acha kupenda kukaa ndani na kutaka mke.
Wazee walisema mtaka cha uvunguni sharti ainame.

Jaribu kuwa unatenga muda wa kutoka out na kukaa mazingira tofauti na nyumbani kwako.

Tembelea maeneo ya Sae,Forest,Block T, Jacaranda na Uzunguni kuna watoto wazuri ni wewe na mdomo wako.

Cheap is Cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…