Mke anahitajika haraka

Toromeeeeeee

Member
Joined
Nov 25, 2019
Posts
7
Reaction score
3
Natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu
Sifa
●Mcha Mungu na mpenda maendeleo
●Umri miaka 18-30
●Mrembo mweupe au mweusi mwenye shape atapewa kipaumbele
●Awe na shughuli halali inayomwingizia kipato
●Mkweli na mtulivu fursa itakuwa yake


Mimi mcha Mungu
kimo cha kati
Elimu bachelor degree
Kazi mwajiliwa serikalini

Nichek pm kwa aliyeserious tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani
 
don't do that to him, bhana! utampata wapi aliye perfect kwa kila kitu! unaweza mpata mlefu akakuoa lakini ukawa mke wa tatu! unasemaje?
Don't take it too serious mkuu, nilikua natania tu, btw umemuuliza yeye anataka warefu kumzidi?, maana kuna wakaka wengine hawapendi kuzidiwa urefu na wake zao. Vipi wewe mwenyewe unakimo kile eeh(si Kwa utetezi huu)
 
the probability of getting the wrong women is higher than what you expect. kwani wewe unaishi wapi mkuu? vitu vingine hivi ni bora tukusaidie kimawazo!
 
Kile kikosi umepita nacho ina maana hamna hata mmoja naefaa kumweka ndani? 😁
 
Don't take it too serious mkuu, nilikua natania tu, btw umemuuliza yeye anataka warefu kumzidi?, maana kuna wakaka wengine hawapendi kuzidiwa urefu na wake zao. Vipi wewe mwenyewe unakimo kile eeh(si Kwa utetezi huu)
ok,come and join me, i'm beyond requirements.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…