Mke anahitajika haraka

Huna haja ya kuuliza age yake, we mwambie tu umebakiza miaka mingapi kustaafu.
Kama umebakiza zaidi ya miaka miwili ndiyo ustaafu, humpati.
 
Sasa mbona hujasema wewe unafanya issue gani inayokuingizia kipato, ila unayetaka kumuoa awe na kazi??
 
ad umri huo hujawah oa wala kua na mtoto πŸ˜‚πŸ˜‚we apana utakua strict sana aseeee, inaonesha n mtu wa misimamo sana🀣🀣
 
Kuna wadada wakiskia ndoa mirija ya akili inaacha kufanya kazi.... imagine nimetoka kumzingua akutane na hili tangazo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Daaaah ila wew
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ Daaaah ila wew
Hali si hali
 
Dahhh! Maisha haya Nina michepuko 3 inatamani ndoa balaa kumbe Kuna wengine wanatafuta wa wanawake wa kuwaoa sijui nikupe mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…