Mke anahitajika, Kwa ajili ya Ndoa

Mke anahitajika, Kwa ajili ya Ndoa

Gustavo Gaviria

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2018
Posts
630
Reaction score
1,113
Habari za muda.

Wasifu wangu.
Miaka 27
Mfanyabiashara mdogo.
Elimu ni Diploma
Dini Mkristo.
Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa.

Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu.

Sifa nazohitaji
Umri asizidi 30
Dini sichagui, ila kama ni tofauti na yangu awe tayari kubadili.
Awe maeneo ya kanda ya ziwa.
Mengine tutayajadili.

Nb: Awe mwenye uhitaji wa Mwenza wa maisha, hilo liwe kipaumbele kwake.

Mawasiliano ya simu ni 0621915752.
 
Kumbe wa kwetu kabisaa (mie pia wa kanda ya ziwa) utapata tuu mkuu, muhimu uvumilivu
 
Dah tulio mbali na kanda ya ziwa fursa ishatupita pembeni.
 
Habari za muda.

Wasifu wangu.
Miaka 27
Mfanyabiashara mdogo.
Elimu ni Diploma
Dini Mkristo.
Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa.

Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu.

Sifa nazohitaji
Umri asizidi 30
Dini sichagui, ila kama ni tofauti na yangu awe tayari kubadili.
Awe maeneo ya kanda ya ziwa.
Mengine tutayajadili.

Nb: Awe mwenye uhitaji wa Mwenza wa maisha, hilo liwe kipaumbele kwake.

Mawasiliano ya simu ni 0621915752.
Heeee UTAMFANYA

Kila lakheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom