Gustavo Gaviria
JF-Expert Member
- Nov 19, 2018
- 630
- 1,113
Sawa kakaKAKA NA MIMI NATAKA MKE ME NAONA TWENDE HUKO VIJIJINI KUNA PISI KALI KIBAO HAWA WA MTANDAONI WAJANJA WAJANJA SANA
Subira yavuta kheri...Dah tulio mbali na kanda ya ziwa fursa ishatupita pembeni.
Heeee UTAMFANYAHabari za muda.
Wasifu wangu.
Miaka 27
Mfanyabiashara mdogo.
Elimu ni Diploma
Dini Mkristo.
Makazi yangu ni Kanda ya Ziwa.
Nahitaji mwanamke ambaye nitamfanya awe mke wangu.
Sifa nazohitaji
Umri asizidi 30
Dini sichagui, ila kama ni tofauti na yangu awe tayari kubadili.
Awe maeneo ya kanda ya ziwa.
Mengine tutayajadili.
Nb: Awe mwenye uhitaji wa Mwenza wa maisha, hilo liwe kipaumbele kwake.
Mawasiliano ya simu ni 0621915752.
Ndio mkuu
Hii ya safari hii naona inavuta bangiSubira yavuta kheri...
Haraka haraka haina baraka...Hii ya safari hii naona inavuta bangi
Sawa.. wacha nisubiri.Haraka haraka haina baraka...
Pole pole ndiyo mwendo...Sawa.. wacha nisubiri.