Niko hapa nioeNahitaji mke mkristo. Umri nimeutaja hapo juu. Awe na hofu ya Mungu na asiwe mlevi wa pombe. Mwenye upendo na nia thabiti y kujenga mahusiano imara na mume wake. Ana nia ya kufurahia ndoa yake na kunifanya mm mume wake mwenye furaha. Umri wangu ni miaka 45, mwajiriwa.
I'm sitting this one out πMshangazi dot com JAMVI Lenu likose hata mmoja!
haha au ndio alikuwa kataa ndoa wa miaka ya 90I'm sitting this one out.
Kwangu mimi hiyo age ni red flag.
kwamba ni mkubwa sana..I'm sitting this one out π
Kwangu mimi hiyo age ni red flag
Nahitaji mke mkristo. Umri nimeutaja hapo juu. Awe na hofu ya Mungu na asiwe mlevi wa pombe. Mwenye upendo na nia thabiti y kujenga mahusiano imara na mume wake. Ana nia ya kufurahia ndoa yake na kunifanya mm mume wake mwenye furaha. Umri wangu ni miaka 45, mwajiriwa.
Ndiyo, ila atapata tu!kwamba ni mkubwa sana..
Kila la kheriNahitaji mke mkristo. Umri nimeutaja hapo juu. Awe na hofu ya Mungu na asiwe mlevi wa pombe. Mwenye upendo na nia thabiti y kujenga mahusiano imara na mume wake. Ana nia ya kufurahia ndoa yake na kunifanya mm mume wake mwenye furaha. Umri wangu ni miaka 45, mwajiriwa.
Kama ana hela bado sana
Malizia "awe na hela, na asiwe bahili"Kama ana hela bado sana
Mshangao nitakubroku. Unakoment utafikiri nilikutongoza wewe na sasa unanikatia. Uzi huu ni kwa wahusika tu. Wengine wapite pembeniπ€£ π€£ π€£
View attachment 3244008
Ni "nitakublock" jifunze kuandika vizuri.Mshangao nitakubroku. Unakoment utafikiri nilikutongoza wewe na sasa unanikatia. Uzi huu ni kwa wahusika tu. Wengine wapite pembeni
haha ushaanza kunitangazaMalizia "awe na hela, na asiwe bahili"
Sio kama wewe, unaombwa laki tu, unamblock mtoto wa watu.
Muhimu kuishi kwa upendoKwa umri huo unaotaka wewe, humu ushindwe wewe tu.
Ila uwe tayari kupenda ua na boga lake, maana humu ni full masingo maza.
Kwa hio we wa miaka mingapi anakufaa?Ndiyo, ila atapata tu!