Mke anahitajika na best man

Mke anahitajika na best man

Best Ami

Member
Joined
Dec 17, 2023
Posts
25
Reaction score
47
Wanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;

1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo kibonge
3. Umri 20 - 32

Sitanii kwa hili, aliye serious namkaribisha.

Tangazo hili litaisha muda mpka tarehe 1 Januari, 2024.
 
Screenshot_20231221_160328_X.jpg
 
Wanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;

1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo kibonge
3. Umri 20 - 32

Sitanii kwa hili, aliye serious namkaribisha.

Tangazo hili litaisha muda mpka tarehe 1 Januari, 2024.
Haya ya kuweka deadline kama tangazo la kazi ndiyo yanakuchelewesha kuoa
 
Wanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;

1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo kibonge
3. Umri 20 - 32

Sitanii kwa hili, aliye serious namkaribisha.

Tangazo hili litaisha muda mpka tarehe 1 Januari, 2024.
Nakuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Best man niko hapa

Hujaweka vigezo lakini mheshimiwa bwana harusi.
 
Huko Daslam hakuna wanawake wazuri ama hujui kutongoza mkuu?

Na kwanini uweke deadline ilhali mwenye uhitaji ni wewe!

Mwanamke mzuri na mwenye haja ni yule unayemtongoza wewe mwenyewe, na sio anaejileta kwako.
 
Back
Top Bottom