Mke anahitajika 'Uhakika 100%'

Mke anahitajika 'Uhakika 100%'

Kaka Jose1

Member
Joined
Feb 12, 2022
Posts
15
Reaction score
25
Habari ya wakati huu,
Ninahitaji mwanamke ALIYE TAYARI KUISHI MAISHA YA WAWILI kwa sasa. Naposema kwa sasa namaanisha kwa muda mfupi tuanze kuishi pamoja.

0623 935 605

Sina mambo mengi isipokuwa vigezo vichache hapa chini:-

a. Umri 23-35
b. Uwe huru na Usiwe na ndoa inayoendelea
c. UKWELI NA UTU
d. Kazi sio lazima bali uwezo wa kawaida
e. Usiwe na mtoto (kama yupo basi 1 tu)
f. Uwe na nia ya dhati ya kujenga familia (kama unabahatisha usinitafute)
g. Uwe tayari kuanza maisha ya chini na tuishi wapi ni makubaliano. Nipo mkoa wa Kagera.

KAMA UMEVUTIWA NA KUGUSWA NA HITAJI LANGU na UPO TAYARI kwa sasa basi ni zamu yetu.

Wasiliana nami moja kwa moja MUDA WOWOTE usiku au mchana, kupitia 0623 935 605.
SMS pia najibu zote.
 
Hutaki awe na watoto wawili [emoji1787][emoji1787] unaogopa vitakuwa Kama vi chui kwenye familia yako [emoji1787][emoji1787]
 
Kazi Kwenu wadada....Katanua Wigo huyo hata 'Single Maza' Mwenye Mtoto mmoja Ruksaa....!
 
Kuwa makini sana na huo urafiki wa muda mfupi, kila lakheri Mungu akupe haja ya moyo wako.
 
Back
Top Bottom