Mke anahitajika

Davey 2017

Senior Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
109
Reaction score
133
Habari za leo wana JF,

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 37 natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke anatakiwa awe ana umri kati ya miaka asizidi 34, akiwa hana ama watoto ni sawa, wasizidi wawili. Mimi ni mwajiriwa na mfanyabiashara, naishi Dar es Salaam na ni mkristo.

Mke namaanisha tutafahamiana, tukiendana tutakuwa marafiki....uchumba....ndoa....hatua a.k.a baby steps, si mpango wa mwendo kasi.

Mengine tutajuzana, kwa mawasiliano ni PM.

Asanteni
 
kila la kheri kaka huna ata mambo mengi ningekua sina mume ningekuja tuyajenge tutoane upweke
Halafu kasema zile baby steps hataruka hata moja!![emoji1][emoji1][emoji1]........what a wonderful man!......rafiki ungekuwa huna mume ningekuunganisha na huyu!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Halafu kasema zile baby steps hataruka hata moja!![emoji1][emoji1][emoji1]........what a wonderful man!......rafiki ungekuwa huna mume ningekuunganisha na huyu!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
acha tu rafiki mbona ningeshajipeleka mwenyewe pm ndio hivyo nimeshawahiwa
 
Ila mzee umenitisha 37...ujaoa doh,ngoja nijipange mungu aniongoze kabla sijafika uko,..
 
Mbona wako wa 40+ bado wapo wapo, usimfanye apanic bure.

Duhh ii inasabbishwa na nn,mi saw nimepitia maumiv makali kweny mapenz nipo kweny recovery process, najua nikizidisha maombi mungu atanipa naestaili,..ila 40+ huna at a mtoto duh!
 
Duhh ii inasabbishwa na nn,mi saw nimepitia maumiv makali kweny mapenz nipo kweny recovery process, najua nikizidisha maombi mungu atanipa naestaili,..ila 40+ huna at a mtoto duh!
Mradi mtoto apatikane tu na umpe malezi na elimu lakini usitegemee sana kuona wajukuu kama 45 bado huja settle down.
 
Ukifika hapo unakuwa stable na mature, jaribu uone. Ndiyo maana wadada wengi wanatutafuta wenye umri huu πŸ˜‰, natania usije lia

Hahahaha kwa nn nilie Kiongoz, ila Una mtoto,I hope mi nnaye mmoja,nampenda Sana,ila sijafikia umri ni kama magufuli atoke uongozin ndo nafikia,ila kila LA heri,Kiongoz maana UA naamin kila kitu kina sabab best of luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…