Mke anahitajika

Mke anahitajika

Deva

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2018
Posts
1,238
Reaction score
1,812
Mimi kijana nimejitokeza kutafuta mwanamke ambaye tutaweza kuwa kwenye mahusiano yatakayopelekea ndoa
Kuhusu mimi

Umri 25 years.
Elimu Diploma.
Kazi: Nurse

Nahitaji mke awe na sifa zafuatazo.

Asiwe mwembamba sana
*Kazi sio muhimu sana ila awe na akili ya kujishughulisha
*Mwenye mtazamo chanya hata kama ameishia form 4.
*Dini yoyote
*sibagui kabila wala rangi
*Umri awe chini ya 25

Kama upo tayari unahitaji mchumba, karibu pm.
 
Back
Top Bottom