Mke anahitajika.

Mke anahitajika.

AdanaVural

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
628
Reaction score
353
Vigezo.
1.Umri kuanzia miaka 30,
2.Maji ya kunde au mweupe wa asili na sio weupe wa dukani.
3. Awe anajishughulisha na kazi yeyote(sio utapeli)
4. Umbo la wastani, yaani mrefu kidogo na sio mfupi sana.
5. Muislam au aliye tayari kuishi na mume wa kiislam na asiyetumia kilevi cha aina yoyote ile.
6. Ukiwa mjane au mwenye mtoto pia unahitajika.
7. Awe na elimu ya kujitambua na sio ya kwenye vyeti tu.
Sifa zangu
1. Umri wangu 30+
2. Nimejiajiri pia nimeajiriwa
3. Elimu ya juu japo sina GPA ya 32
4. Situmii kilevi cha aina yoyote ile.
5. Nina watoto wawili.
6. Mengine utauliza.

Kama una sifa tajwa unakaribishwa pm.
 
Kila la kheri bro
 
Nimekosa vigezo viwili tu hapa duh![emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom