mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Habarai wana jamii , kuna rafiki yangu , alinipa kazi ya kuwa mshenga ,( kupeleka barua ya uchumba kwa wazazi wa binti) mm nikakubali nikaandika barua na ikapangwa siku ya kupeka, ilipofika cku ya kupeleka barua bint akasema hayupo tayali kwa hiyo ikawa imekwisha hiyo.
Sasa anaitajika mwanamke hapa , sifa za binti
Muislam
Mweupe
Mchamungu
Watoto wasizidi 2
Umri miaka 25-40,
Mwanaume ni muislam. Asili yake Arusha,
Ana mke na watoto 2
Familia umekubali aongeze mke WA pili,
Mwanaume kwa sasa yupo dar kimasomo
Muarijiwa selikalini
Kwa sasa anasomea udaktali
Mwanamke aliokuwapo dar atapewa kipaumbele zaid
ALIEKUJA TAYALI AJE MP
HII MADA NYINGINE
JUMAPILI YA TRH 27 KUNA JAMAA WAPO DAR WANAENDA MORO 'WANAITAJI MWAMKE MMOJA TU WA KUWAPA KAMPAN WATALALA HUKO WANATUDI J 3 AU 4 UTAPEWA POSHO JAPO SIO PESA NYINGI KAMA KUNA MWANAMKE YUPO TAYALI AJE MP,