Mke anahitajika

Mke anahitajika

Rotika

Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
10
Reaction score
20
Wasifu wangu.
Mrefu
Mwembamba
Dini -Mkirsto
Kazi -Mwajiliwa serikalini
Umri 32
Situmii kilevi chochote
Natokea Nyanda za juu kusini

Awe na sifa zifuatazo
1.Mkirsto
2.Mfanyakazi/Amejiajili
3.Umbo la wastani
5.Asiwe na mtoto
6.Atokee Dar, Morogoro /Pwani kwani mojawapo ya hiyo mikoa ndio ninakofanyia kazi.
7.Awe tayari kupima
Mengi tutasemezana na kufahamiana zaidi.
 
Back
Top Bottom