Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kwahiyo akili zinapotea kwa mvuaMvua ziishe tu, watu akili ziwarudi
Kibaridi hiki cha mvua hua kinavuruga sana akiliKwahiyo akili zinapotea kwa mvua
Jina litakuja nani?πPopote alipo,
Namba hiyo hapo
Mpaka ziishe tutashuhudia mengi sanaMvua ziishe tu, watu akili ziwarudi
Ukishindwa kuvumilia hali hiyo kwa mda mfupi utaweza kuvumilia ugumu wa maisha kweli?Kibaridi hiki cha mvua hua kinavuruga sana akili
Na ndio zimechachamaa balaa, maombi yanahitajika aki kunusuru hawa kaka zetuMpaka ziishe tutashuhudia mengi sana
Sio rahisi kabisaUkishindwa kuvumilia hali hiyo kwa mda mfupi utaweza kuvumilia ugumu wa maisha kweli?
Na wauza kahawa waongezeke kwa wingiNa ndio zimechachamaa balaa, maombi yanahitajika aki kunusuru hawa kaka zetu
Mnaisingizia mvua bure πSio rahisi kabisa
Tatizo jioni wauza alkasusu ndio wengi, wauzaji kahawa wamepunguaNa wauza kahawa waongezeke kwa wingi
Na wachoma mahindi msiwasahauNa wauza kahawa waongezeke kwa wingi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We ngoja kiangazi kianze kama nyuzi za hivi zitakua nyingiMnaisingizia mvua bure π
Akimchukua anaenda kumchakata nyumbani kwao hapo usikute hata chumba hajapanga anaishi kwao anataka mke, manyoko hii ni hatari baridi inapuliza kengele tuππππ wake wamekua adimu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] wake wamekua adimu