Mke anahtajka......kwa aliye serious tu!

Daullah

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
190
Reaction score
46
Mwanamke aliye na mapenzi ya dhati,mcha Mungu(muislam),mtafutaji,elimu level yoyote kuanzia ngazi ya secondary,kama ana kazi ni added advantage,mm ni muajiliwa serikalini nna ishi nje kdgo ya jiji la Arusha umri wngu ni miaka 32,mweusi kdogo kwa alie na sifa hzo plz tukutane PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nje kidogo ya jiji la Arusha ndo wapi huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mcheki JOHARI wa bongo movie yule mesikia anatafuta mume

iPhone 7 /A1786)
 
Wanakuja kuwa mvumilivu tuu mkuu.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Back
Top Bottom