“Mke Anajipodoa sana wakati wa kwenda kazini”

yaani ulimwacha mkeo kwa sababu ya kugongewa....wewe umewagongea wenzio kiasi gani? nahisi wewe uligonga wake za wengine zaidi yake
 

kwakuwa ni DEMU hayupo serious nn wewe angekuwa msichana ningekushauri.
 
wacha masihara ww, ww mwenyewe umemkuta anajipodia na ukapenda huo huo ulimwende wake wa kujipodoa ,
wivu huo mkuu mwache mwenzio apendeze bana, ww huoni wanawake wanavyopendeza siku izi unataka mwenzio ajizeeeshe kisa??
well labda mavazi...... na je hapo kabla halikuwa havai vimini?? if yes then muweke chini umwambie! very minor ishu hii mkuu! ongeeni tu!
afu una kamtindo ka kukaa na wanawake bila kuoa enh?? maana huyo wa pili! sikushauri bana acha io kitu mkikutana siku moja moja ndio fresh hapo mnachoshana buree! na kujiomgezea unnecesary cost wakati hujaoa!
 
Boflo anataka kuoa!!!! kuna member mmoja alikua anaitwa Bwabwa! sijui kapotelea wapi!! uwa napata shida kuamini si Boflo!
 
Aisee hao mademu zenu wanatutega kweli huku maofisini, mara wadondoshe makaratasi na vi mini skirt halafu wana bend yaani balaa. Lakini usijali sisi tunawachukulia kama dada zetu tumewazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…