Mke ananichapa...

Wewe Boflo...hebu anza kupiga tizi bana. Utakubalije upigwe na mwanamke?

Tafuta dojo na sensei hapo Upanga uanze mazoezi ya martial arts ili next time akianza kukuchapa unamuweka kwenye triangle choke hold na mwenyewe atalainika bila kupenda.

Mi Jasmine hawezi hata kuthubutu kuninyanyulia mkono wake....
 
Hehehee huyo mkeo au mama ako??mambo mengine mnajitakia wenyewe sasa kama huyo mwanaume kwenye pic mwili wake mdogo then anaoa pande la mwanamke anategemea nini?lol! Sometimes muwe mnaangalia miili ya kuoa jamani..
 
ukome, wewe unakwenda kimoja kila siku tena sekunde tu tayari ulitegemea nini?.
 

hahaha..... mtaalamu Nyani sawa bwana nitafata ushauri wako
 
Boflo, wanaume hawatendewi hivyo huku kwetu Africa.
 
Last edited by a moderator:
na wewe mchape kutumia ile fimbo 'natural'. piga viboko kadhaa na hatarudia tena
 
Ukiona hivyo hapo hakuna upendo!
 
Yeye ndiye analipa matumizi ya nyumbani, nifanye nini sasa?

Kumbe ni halali yako kupigwa as long as maisha yako yanamtegemea yeye. Iweje mtoto wa kiume ukubali kuwekwa ndani kama mtoto wa kike aliyeolewa? Na kwanini ukubali kuishi maisha ya kutunzwa wakati wewe ni kijana rijali mwenye nguvu zako? Hujioni kuwa unatudhalilisha wanaume kwa kitendo chako hiki? Huoni kuwa kupata viboko ni halali yako maana mkeo unakuona mwanaume usiye jishughulisha na kazi na pia huna future ya maisha yenu?
 
Boflo, wanaume hawatendewi hivyo huku kwetu Africa.
Ndahani usiizungumzie Africa mkuu, tembelea hapo Nyeri Kenya uone jinsi wanaume wanavyochapwa na wake zao! Mpaka wameanzisha chama chao cha kuwatetea.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…