Mke ananichapa...

Boflo pole kumbe ukilishwa ni haki kutwangwa kwa urahisi
 
Last edited by a moderator:
Kupigwa na mwanamke ni udhaifu wa hali ya juu
 
Hehehee huyo mkeo au mama ako??mambo mengine mnajitakia wenyewe sasa kama huyo mwanaume kwenye pic mwili wake mdogo then anaoa pande la mwanamke anategemea nini?lol! Sometimes muwe mnaangalia miili ya kuoa jamani..

wanakuwa hivyo tukishaweka ndani, before wanakuwaga potabo wazuri tu
 
kuna ubaya gani kuchapwa na mkeo? mbona raha tu?
 
ndio upendo kama wakurya wanawake , wacpopigwa wanalalamika hawapendwi.
 
Mwambie mwanamme hupigwa kwa shati zuri sio kwa fimbo. Hajasikia kuwa mwanamke hupingwa kwa upande wa kanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…