kapama shauritanga
Member
- Jul 8, 2014
- 74
- 7
Jamani wanajamii kuna kaka yangu anasumbuliwa sana na mke wake na anachohitaji yeye ni mume wake ndiye aende mahakamani na kuhitaji kutoa taraka ili apewe masharti magumu iwe faida kwake. Kitu kingine ni kwamba imefikia hatua ameficha hadi vyeti vya kazi. Na sasa anamwambia yuko radhi kumdhuru kaka.
Kisa na mkasa ni kua shemeji yangu alipata mimba kutoka kwa mwanaume mwingine alafu akampakazia kaka. Bahati nzuri au mbaya kwake yule mtoto akazaliwa katika tarehe ambazo kaka hakuzitarajia hivyo akamwambia mkewe huyu kijana si wangu.
Basi ishakuwa shida mjini. Jamani naomba ushauri..