supermwamba
Member
- Mar 11, 2024
- 37
- 33
Sawa, ukipenda boga unapenda na ya lake. Kuhusu uchumi, Kila palipo na maendeleo ya mwanaume kuna mwanamke pembeni.Kila la la kheri katika upataji wa mke bora ila kwenye andiko lako tayari nimeona umetangaza kununua matatizo mawili makubwa.
Awe na watoto ,hapa automatically unakwenda kubeba mzigo usiokuhusu na ambao tija yake kwa kizazi hiki cha leo hutokaa uione .
Pesa ya mwanamke haijawahi kuwekea guarantee kumaliza au kuchangia kuyamudu majukumu ya ndani
.Namaliza kwa kusema kuoa kwa kizazi hiki ni ubatili tu nataman kua single ila ndio baasi tena
Kila la kheri mpka tunafikia kukueleza hayo tunawake hao hao wenye sifa hizo hizo kama ulizotaja hakuna tunaloambulia ni maumivu tuSawa, ukipenda boga unapenda na ya lake. Kuhusu uchumi, Kila palipo na maendeleo ya mwanaume kuna mwanamke pembeni.
☹️Kila la kheri mpka tunafikia kukueleza hayo tunawake hao hao wenye sifa hizo hizo kama ulizotaja hakuna tunaloambulia ni maumivu tu
Kwa uzoefu wako, ungepewa muda wa kuchagua mchumba, ungetaka wa sifa zipi??Kila la kheri mpka tunafikia kukueleza hayo tunawake hao hao wenye sifa hizo hizo kama ulizotaja hakuna tunaloambulia ni maumivu tu
Pole sana mkuu,lakini hawafanani anaweza akawa mwiba kwako lkn kwa mwingine akatuliaKila la kheri mpka tunafikia kukueleza hayo tunawake hao hao wenye sifa hizo hizo kama ulizotaja hakuna tunaloambulia ni maumivu tu