Benylin
Member
- Feb 9, 2017
- 44
- 26
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 27. Naish Dar napia nimeajiliwa nimeajiliwa katika kampuni moja wapo kubwa hapa nchini.
Natafuta mke mwenye umri wa miaka kati ya 20 hadi 25, awe ,weupe , elimu yake kidato cha nne na kuendelea. Na awe mkristo. Kwa mwenye hitaji kama langu, karibu PM tuzungumze