Mke anatafutwa ndani ya mkoa wa Ruvuma.

Mke anatafutwa ndani ya mkoa wa Ruvuma.

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
4,210
Reaction score
556
Wana jf, niko serious! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28, ni mwajiriwa! Naomba kwa msichana yeyote aliyetayari kuwa mke na anayepatikana ndani ya ruvuma! Sifa zake ni kama ifuatavyo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 20-26. (2).. Awe mweupe au maji ya kunde! 3.awe mkristo 4. Awe angalau na elimu ya kidato cha nne! 5. Awe tayari kuishi popote ndani ya tz na hata nje ikibidi. Kwa aliye tayari aniandikie kupitia, altordenis@yahoo.com, au anisms kwa 0764 93 05 85! Ni kwa aliyeserious tu!
 
Back
Top Bottom