Mke anatafutwa

Nahita

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
53
Reaction score
45
Mke anatafutwa wa kupanga nae maisha
Age: 18- 28
-Education ata list ajue maesabu ya pesa + na - awe anaweza kuwa business idea
-Aweze kujishughurisha kwa kazi ata kama amesoma sio ategemee professional
-Dini ; Muslim ambaye anajitambua na hofu ya mungu
-Awe mrefu plz na colour maji ya kunde sio black
-
-NB ukiwa amesoma asiwena mkopo wa elimuya juu

Sifa za muoji
Age = 24
Dini : Muslim
Rangi: Black ya kunywa a.k.a jongoo
Education; Diploma level
Hana kazi maalum / hajaajiliwa kwa sasa means anaunga una tu
NB; Hana mkopo wa elimu ya juu
 
Mwenye mkopo wa elimu ya juu humtaki?😂

Mikopo ya vicoba wanaruhusiwa,nafasi hiyo wanawake
 
HELB ni kigezo wallah..
 
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 26 ninaishi zanzibar kikazi kwa sasa natafuta mke mwenye miaka 18 adi 32 awe Muslims au ambaye yupo tayari kubadili dining kuwa Muslim awe mwenye idea ya biashara na kusimamia awe mchamungu na anaefanya kazi yoyote kama ajaajiriwa (kilimo) na ufugaji awe tayari kuishi seemu yoyote endapo naphtali ajira awe mrefu kuazia futi 6 na awe mwenye kuvaa mavazi ya stara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…