Mke anatafutwa

MariaMungu

Member
Joined
Oct 14, 2020
Posts
40
Reaction score
35
Sifa zangu
Umri miaka 30
Kazi mwajiriwa
Nna watoto 3


Sifa zake
Awe ana hofu ya Mungu
 
Unatafuta "Mke" au unatafuta "mwanamke" wa kuishi nae?

Kama ni mwanamke wa kuishi nae humu utawapata ila kama ni mke basi hapatikani mtandaoni.
 
Kuna rfk yngu yupo hp naye pia ana wtt 3 kila mmoja na babaake now yupo single anatafuta mume nikuunge Naye mkuu
 
Una kasoro gani mzee,unashindwa kuvuta kamanzi kamoja hapo kitaa mpaka uje mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…