Mke anatafutwa

Mke anatafutwa

Mwalimu wa Mathe

Senior Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
163
Reaction score
349
Sifa zangu;
mweupe,
mrefu,
mwil wa kawaida,
miak 26,
nimeajiliw serikalini
Diploma
Sifa zake
Akiwa muislam itapendeza zaid
Elimu yoyote
Asizid miak 29
Asiwe mnene kupitiliza
Seriously PM
 
Sifa zangu;
mweupe,
mrefu,
mwil wa kawaida,
miak 26,
nimeajiliw serikalini
Diploma
Sifa zake
Akiwa muislam itapendeza zaid
Elimu yoyote
Asizid miak 29
Asiwe mnene kupitiliza
Seriously PM
Kwa mshahara wa diploma ya ualimu ungevuta dmsubira kdgo upate maendeleo mke atakusumbua kwa kipato chako cha ualimu.
 
Kaka una ulemavu?

Hivi mwanaume 26 yo unashindwa kutongoza barabarani au huko maofisini unakuja kupapasa gizani??
 
Back
Top Bottom