M Mwalimu wa Mathe Senior Member Joined Mar 7, 2023 Posts 163 Reaction score 349 Jul 20, 2023 #1 Sifa zangu; mweupe, mrefu, mwil wa kawaida, miak 26, nimeajiliw serikalini Diploma Sifa zake Akiwa muislam itapendeza zaid Elimu yoyote Asizid miak 29 Asiwe mnene kupitiliza Seriously PM
Sifa zangu; mweupe, mrefu, mwil wa kawaida, miak 26, nimeajiliw serikalini Diploma Sifa zake Akiwa muislam itapendeza zaid Elimu yoyote Asizid miak 29 Asiwe mnene kupitiliza Seriously PM
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Jul 20, 2023 #2 Mwalimu wa Mathe said: Sifa zangu; mweupe, mrefu, mwil wa kawaida, miak 26, nimeajiliw serikalini Diploma Sifa zake Akiwa muislam itapendeza zaid Elimu yoyote Asizid miak 29 Asiwe mnene kupitiliza Seriously PM Click to expand... Kwa mshahara wa diploma ya ualimu ungevuta dmsubira kdgo upate maendeleo mke atakusumbua kwa kipato chako cha ualimu.
Mwalimu wa Mathe said: Sifa zangu; mweupe, mrefu, mwil wa kawaida, miak 26, nimeajiliw serikalini Diploma Sifa zake Akiwa muislam itapendeza zaid Elimu yoyote Asizid miak 29 Asiwe mnene kupitiliza Seriously PM Click to expand... Kwa mshahara wa diploma ya ualimu ungevuta dmsubira kdgo upate maendeleo mke atakusumbua kwa kipato chako cha ualimu.
M Mwalimu wa Mathe Senior Member Joined Mar 7, 2023 Posts 163 Reaction score 349 Jul 20, 2023 Thread starter #3 Covax said: Kwa mshahara wa diploma ya ualimu ungevuta dmsubira kdgo upate maendeleo mke atakusumbua kwa kipato chako cha ualimu. Click to expand... Ualimu!? Kwan nimesema nafanya kazi gani !
Covax said: Kwa mshahara wa diploma ya ualimu ungevuta dmsubira kdgo upate maendeleo mke atakusumbua kwa kipato chako cha ualimu. Click to expand... Ualimu!? Kwan nimesema nafanya kazi gani !
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,166 Reaction score 5,620 Jul 21, 2023 #4 Kaka una ulemavu? Hivi mwanaume 26 yo unashindwa kutongoza barabarani au huko maofisini unakuja kupapasa gizani??
Kaka una ulemavu? Hivi mwanaume 26 yo unashindwa kutongoza barabarani au huko maofisini unakuja kupapasa gizani??