Ana watoto wa tatu mmoja std 3 wapili std1 watatu kindergarten. Anataka watoto zaidi kwani anadai haoni sababu ya kuwa na watoto wachache. Jamaa anasema mwanzoni alidhani ni utani lakini sasa hivi hii topic imekuwa too much. Kaniomba msaada ili ndoa yao iendelee kuwa na amani, kwani ana mpenda sana mke wake. Mimi nilipongea naye kiundani sana, lakini Nimeileta huku ili mnipe mawazo yenu.
Asanteni wakuu kwa mawazo yenu. Mmenipa mwanga mkubwa saana wa kulishughulikia hili. First step na print hizi inputs zenu zote 2copies nawapelekea. Naongeza na ushauri wangu kidogo.. naamini itakuwa na impact fulani kwao.. na watafanya uamuzi ambao kila mmoja ataridhika Thanks alot
Nilidhani hili la mtizamo wa ukubwa wa familia linapaswa kuongelewa kabla ya ndoa yenyewe....kwangu mimi hii ni tofauti ya kimsingi ambayo ingefanya ndoa isiwepo!