Mke ashiriki mauaji ya mume kwasababu ya mali

Under-cover

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2023
Posts
1,834
Reaction score
3,042

VIDEO Francis Butoto anayesadikika kuwa na miaka 64 Mkazi wa Kijiji cha Kishanda kata ya Kibare tarafa ya Murongo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ameuawa na kufukiwa kwenye shimo la choo kilichokuwa kinatumiwa na kijana wake, ambapo watuhumiwa wanne wanakamatwa kwa kuhusika na mauaji hayo akiwemo mke wake.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera SACP Brasius Chatanda amesema kuwa walitekeleza mauaji hayo February 22, mwaka huu na chanzo cha mauaji hayo ni kutokana na mgogoro wa mali za familia ambapo amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Frola Bitakalamile (42) ambaye ni mke wa marehemu, George Bitaka (52), Detric George (19) na Christopher Bitakalamile (30).

Hata hivyo Kamanda amesema kuwa "baada ya tukio hilo na watuhumiwa kukamatwa wananchi wakazi wa eneo hilo walijichukulia sheria mkononi na kwenda kuharibu Mali za Bitakalamile, hata hivyo na wao wanasakwa na jeshi la polisi na orodha yao tayari tunayo". #EastAfricaTV
 
Changamoto za ndoa
1740505189170.jpg
 
View attachment 3250142
#VIDEO Francis Butoto anayesadikika kuwa na miaka 64 Mkazi wa Kijiji cha Kishanda kata ya Kibare tarafa ya Murongo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ameuwawa na kufukiwa kwenye shimo la choo kilichokuwa kinatumiwa na kijana wake, ambapo watuhumiwa wanne wanakamatwa kwa kuhusika na mauaji hayo akiwemo mke wake.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera SACP Brasius Chatanda amesema kuwa walitekeleza mauaji hayo February 22, mwaka huu na chanzo cha mauaji hayo ni kutokana na mgogoro wa mali za familia ambapo amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Frola Bitakalamile (42) ambaye ni mke wa marehemu, George Bitaka (52), Detric George (19) na Christopher Bitakalamile (30).

Hata hivyo Kamanda amesema kuwa "baada ya tukio hilo na watuhumiwa kukamatwa wananchi wakazi wa eneo hilo walijichukulia sheria mkononi na kwenda kuharibu Mali za Bitakalamile, hata hivyo na wao wanasakwa na jeshi la polisi na orodha yao tayari tunayo". #EastAfricaTV
Marriage Contract versus Marriage Business Contract. Madhara yake ndio haya Sasa.

1 Pre-nuptial Contract baina ya Wanandoa Tarajali ndiyo itakuwa suluhisho kwa matatizo kama hayo.

2. Umiliki wa Mali kwa Hisa miongoni mwa Wanandoa (Co-occupation by Shares) pia itasaidia sana katika kupunguza migogoro ya namna hii.

Watawala wetu pamoja na Wananchi wote kwa ujumla wanapaswa wajifunze kutoka kwa Watu wa Urusi jinsi walivyojinasua kutokana na majanga ya namna hii kwenye ule mtafaruku wao mkubwa unaojulikana sana hapa duniani kwa jina la "The Game of Russian Roulette."
 
Bet : Kataa Ndoa Watakuja Kabla Ya Dakika 10 Hazijaisha.

Stake : Nyumba Ya Urithi.
KATAA NDOA WANACHUKUA POINT TATU TENA 😐
Kimsingi na kiuhalisia, taasisi ya ndoa inakaribia Kuvurugika na hatimaye kupotea kabisa kutoka katika uso wa dunia. Matukio ya namna hii yanachangia pakubwa sana katika kuongezeka kwa idadi ya Watu wanaokataa ndoa kwenye jamii.
 
Umesema ukweli hakika
 
Mme alikuwa na miaka 64 na mke 42 tofauti Yao ni 22 inamaana Jamaa alioa Binti anyeweza kumzaa
 
View attachment 3250142

VIDEO Francis Butoto anayesadikika kuwa na miaka 64 Mkazi wa Kijiji cha Kishanda kata ya Kibare tarafa ya Murongo wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ameuawa na kufukiwa kwenye shimo la choo kilichokuwa kinatumiwa na kijana wake, ambapo watuhumiwa wanne wanakamatwa kwa kuhusika na mauaji hayo akiwemo mke wake.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Kagera SACP Brasius Chatanda amesema kuwa walitekeleza mauaji hayo February 22, mwaka huu na chanzo cha mauaji hayo ni kutokana na mgogoro wa mali za familia ambapo amewataja watuhumiwa hao kuwa ni Frola Bitakalamile (42) ambaye ni mke wa marehemu, George Bitaka (52), Detric George (19) na Christopher Bitakalamile (30).

Hata hivyo Kamanda amesema kuwa "baada ya tukio hilo na watuhumiwa kukamatwa wananchi wakazi wa eneo hilo walijichukulia sheria mkononi na kwenda kuharibu Mali za Bitakalamile, hata hivyo na wao wanasakwa na jeshi la polisi na orodha yao tayari tunayo". #EastAfricaTV
Aisee
 
Back
Top Bottom