Mke Asiye na bwana

Sky zone

Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
93
Reaction score
91
Habarini humu!

Mimi Naitwa sky zone.

Nimependa kujumuika humu!

Nimeona nimtafute mwanamke asiye na mume na awe tayari kushare maisha pamoja bila kuchanganya mafiles (yaani Ajitahidi kutoruka njia kuu).

Naishi kanda ya kaskazini Kilimanjaro na Arusha.

Miaka 26-36 anaweza kunifaa.

Sina kikwazo cha kazi, awe mwanamke imara tu. Kazi tunamuachia Mungu wake.

Mimi nina miaka 29, kazi yangu ni Lecturing na biashara pamoja na ufugaji na kilimo.

Awe Anatokea kanda iliyotajwa hapo juu.

Mikioni zaidi ya hapo sina muda wa Kutembea mkoani kwa Kweli. Ila Arusha na Kilimanjaro Poa sana ata Tanga pia nitaconsider.

Mimi siitaji homesexuality (yaani mapenzi ya jinsia moja) mimi pure heteroxesuality (Mke na Mme).

Mwanaume shoga asijaribu kucomment ama kunipm mimi kistaharabu.

Kama utakuwa tayari Njoo PM.

tutafanyiana interview Kwanza na kupima siyo ombi lazima.

Condom is a gurantee during Sex as Well.

Kwa elimu Kidogo cha sita mpaka Chuo itakuwa Poa Ila pia form four ana minor consideration as Well.

Majivuno na maisha ya shoo kwangu Hapana.

Kudharau watu na maisha yao Hapana.

Awe tayari kukaa kwenye mahusiano nami for 2 years kabla ya kabla ya mengine.

Katibu PM.
 
nafikiri 35 itapendeza
 
wanaume mwenye maneno mengi hafai kabisa
Huwa wanatongozwaje bila maneno ???

Au ukishikwa tako tu unanunua kama kuku ???

Kama wewe umetingwa Potezea Uache maneno yasiyo na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…