Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

Kinachowatesa watu wa Iringa ni pombe na ulevi uliopitiliza.
 
Wakinamama wamekuwa wakatili sana Marne hi,hi inanikumbusha kitendo cha jamaa angu kuchomwa kisu na mkewe kifuani akiwa amelalaa,na mwanamke kutokomea almanusra tumpoteze
 
Sema kama amemkung'uta rungu Moja huyo gerezan hata mwaka hakai atatolewa ,coz itasomeka ameua bila kukusudia.

Ila kama amemtia zaidi ya rungu mbili means huyo jera maisha
Ko mkuu unamaanisha tukitaka kuua tupige rungu moja la uhakika πŸ€”
 
Imagine mtu Una ugomvi naye na amenunua rungu ameweka ndani
 
Wana CCm kupigwa na wake zao haijaanza leo.
 
Ulanzi si pombe nzuri.
 
Hapo suala ni moja tu, kukosekama uaminifu ndani ya ndoa.
 
Wakinamama wamekuwa wakatili sana Marne hi,hi inanikumbusha kitendo cha jamaa angu kuchomwa kisu na mkewe kifuani akiwa amelalaa,na mwanamke kutokomea almanusra tumpoteze
Kibao kimegeuka rafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…