Ndo ivo,hakuna namna.Ila kuna uncle wangu kapata nyumba ya buree...kutokana na mjeshi kumficha mkewe Mali zake na kumthamini rafiki yake.Kafa na kende zake mke hajui kama mume alikuwa na jumba huko.
Hahahaha sasa watoto zako watazipataje bila mama yao kujua? Mama kujua ina maana watoto pia watajua, watoto kujua ina maana pia mama lazima ajue....! Ukiamua kumficha mama ina maana na watoto umewaficha
Kweli kabisa ,hata watoto wakiwa wanajua au ndugu ,mke hawezi kubaguliwa sababu ili wabadilishe jina katika nyaraka za umiliki ni lazima mirathi ifunguliwe na ikifunguliwa mama hawezi kutengwa ,otherwise mirathi isipofunguliwa mali itapotea tu huko mbele
Tatizo wanawake wengine Wana akili za kipumbavu, una fight kuwekeza alafu akiona muko vizuri anaanza kudai talaka ili mgawane mali mlizochuma ili akaishi na kujinafasi anavyotaka,