Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Huyo kaka yako wa ridhaa, huo usultan Sayyid Said wa kumiliki wanawake wengi kwa mkupuo aliutoa wapi?Habari wana Jukwaa
Wifi yangu mmoja ambaye ni mke wa Kaka yangu wa hiari amefanya jambo moja ambalo mume wake amejikuta mtu kati kwenye group la Wasap baada ya mke wake kuchukua namba za michepuko 7 wa mume wake na kuwaweka pamoja.
BAada ya kuwaweka kwenye group, alimuweka mume wa mwisho huku akishare screeshot za chat za meseji za kila mwanamke pale alizokuwa akichat na mume wake.
Kumbe mwanamke alikuwa amejua password ya mume wake na alikuwa anajichukulia ushahidi kimya kimya, baada ya wanawake kujiona na picha zao ugomvi ukaanza maana kila mwanamke alikuwa kaahidiwa ndoa na hawakujua kama kaka ana mke na watoto 3 tayari kwa mke wake.
Mwanaume aliamua kutoka kwa grupu na mke akawa anamrudisha apokee vichambo vyake.
Hali bado ni tete kwani mke alipoona sasa yatosha alijitoa kwenye grupu na kuwaachia ugomvi.
Kasheshe iko kati yake na mume wake sijui watayamalizaje kwani mume aliporudi nyumbani jana hakumkuta mke na simu hapokei hata ya ndugu zake hapokei na hatujui kaenda wapi.
Kuondoka ni jambo zuri! Kwa alichofanya angeendelea kubaki ningemshangaaAmefanya vizuri kumuexpose kwa wanawake zake lakini hajafanya vizuri kuondoka nyumbani alipaswa akae kwa tabasam huku akimuangalia huyo mzinzi anavyoteseka
Wanawake wanapenda league za kijinga sanaMwanamke smart sana huyo
Kwanini umeondoka home mrembo? Rudi home basi tulee watoto jamani, si unajua bila we mi, siwezi kuishi duniani?Hii stori niliwahi kuisikia miaka mitatu iliyopita
Kuna fedheha mtu akizitengeneza hata shetani anamkana huku analia.Huyo kaka yako wa ridhaa, huo usultan Sayyid Said wa kumiliki wanawake wengi kwa mkupuo aliutoa wapi?
Anawezaje kupata muda wa kutulia na mkewe hapo nyumbani?
Maana mchepuko mmoja tu ukiukuta machepele, utakusumbua hadi mke ataufahamu kwa muda mfupi sana.
Tabia za uhuni wa kupitiliza wa namna hiyo, huyo mwanaume anastahili kuishi single, ili azicheze mechi zake vizuri, asihangaike kujiiba wala kuchungwa na mtu!
Huyo hafai kabisa kumiliki mke mwenye nidhamu zake.
Mwisho unamshauri amalizie kwa kufanya nini huyo mke?Kuondoka ni jambo zuri! Kwa alichofanya angeendelea kubaki ningemshangaa
Aendelee kukaa hukohuko alipokimbilia.Mwisho unamshauri amalizie kwa kufanya nini huyo mke?
Wife being at large/in a hideout!Mimi kama bulaza wake namtakia ukimbizi mwema na wenye fanaka.Aendelee kukaa hukohuko alipokimbilia.
Ubaya,ubwela!Habari wana Jukwaa
Wifi yangu mmoja ambaye ni mke wa Kaka yangu wa hiari amefanya jambo moja ambalo mume wake amejikuta mtu kati kwenye group la Wasap baada ya mke wake kuchukua namba za michepuko 7 wa mume wake na kuwaweka pamoja.
BAada ya kuwaweka kwenye group, alimuweka mume wa mwisho huku akishare screeshot za chat za meseji za kila mwanamke pale alizokuwa akichat na mume wake.
Kumbe mwanamke alikuwa amejua password ya mume wake na alikuwa anajichukulia ushahidi kimya kimya, baada ya wanawake kujiona na picha zao ugomvi ukaanza maana kila mwanamke alikuwa kaahidiwa ndoa na hawakujua kama kaka ana mke na watoto 3 tayari kwa mke wake.
Mwanaume aliamua kutoka kwa grupu na mke akawa anamrudisha apokee vichambo vyake.
Hali bado ni tete kwani mke alipoona sasa yatosha alijitoa kwenye grupu na kuwaachia ugomvi.
Kasheshe iko kati yake na mume wake sijui watayamalizaje kwani mume aliporudi nyumbani jana hakumkuta mke na simu hapokei hata ya ndugu zake hapokei na hatujui kaenda wapi.
Mimi piaHii stori niliwahi kuisikia miaka mitatu iliyopita
Michepuko yote saba haikutoshi 😁Kwanini umeondoka home mrembo? Rudi home basi tulee watoto jamani, si unajua bila we mi, siwezi kuishi duniani?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Wewe unaweza kutazama channel moja muda wote? 😹Aisee, kwanini Watu hawaridhiki na mtu mmoja?
Ukae na mume mwenye michepuko 7! Huyo ni mume au uchafuWife being at large/in a hideout!Mimi kama bulaza wake namtakia ukimbizi mwema na wenye fanaka.
Na mwanaume mwenzetu naye ni mpumbavu tu. Michepuko 7 yoe hiyo ya nini? Unataka kugundua nini? Haya ndiyo madhara ya kutotembeza mkia wakati wa ujana!Kuna wanawake wajinga sana
Nilipitiwa tu na shetani, kwani hata nilichokuwa natarajia kukipata kipo basi? Ni majuto bin huzuni, mikosi, kufilisika na kuchosha tu komwe langu 😥Michepuko yote saba haikutoshi 😁
Story ya kutungaHabari wana Jukwaa