Mke azimia kwa SMS

aj styles

Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
17
Reaction score
14
Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye alikuwa ni mwanamke mjane. Yule mjane baada ya kuisoma akaanguka na kuzimia! Mwanae kuona vile akachukua simu na kusoma kilichomfanya mama yake azimie. Iliandikwa hivi:
MKE WANGU MPENZI, NAJUA UTASHANGAA KUONA SMS HII. HUKU NAKO KUNA MTANDAO KAMA HUKO. MIMI NIMEFIKA SALAMA NA MATAYARISHO YA WEWE KUJA HUKU KESHO NIMEYAKAMILISHA NA HIVI NAKUSUBIRI SANA KWA HAMU HONEY!
 
Mama mjane alopoambiwa anaandaliwa makao aende akazimia........kufa sio mchezo,huwenda alishapata kabwana tayari.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kumbe sio mke, ni mjane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli hizi ndio zile habari, ajinyonga hadi kufa na kukimbilia kusikojulikana
 
hapo ndipo utaona kifo hakina rafiki wala Mpenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…