Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe kamuoa bibi yako?sasa aliyeolewa no bibi yako mzaa baba yako au mama yako?Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa.
Ahsanteni.
Kuna Wakati mwingine unapata mashaka na baadhi ya wanaume hapa jamviniWakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa.
Ahsanteni.
Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula
Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
Hebu iweke hapa hiyo picha ila ni mzuri,nimemkubali.Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula
Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
Ahhha haaaah aiseeeeKuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula
Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
"Wewe mtoto utapata tabu sana,utapata shida sana.....nitakupiga kipigo cha mbwa koko"Wakuu mwenye picha ya Bibi mke wa King atuwekee hapa.
Ahsanteni.
"Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"Kuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula
Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe
Si ajabu alikuwa anamuomba Mungu wake amjalie na yeye mtoto kama yule"Wewe mtoto utapata tabu sana ,nita kupiga kipigo kipigo cha mbwa koko"View attachment 762490
Hapana chezea mbongo kabisaKuna picha moja anamuangalia mtoto wa Ally kwenye reception watu wanasema ana jicho la kuficha chakula
Mbongo mpe heading habari ataitengengeneza mwenyewe