Mke bora anahitajika

Mke bora anahitajika

shabani198

New Member
Joined
Aug 14, 2024
Posts
2
Reaction score
6
Habari ndugu zangu,

Waswahili wanasema katika maisha ni muhimu kuwatafutia wanao mama aliye bora.

Na hivyo bila hiana nimeona humu JF naweza pata mke bora maana naamini humu watu wenye sifa ya kuwa wake bora wapo wengi hivyo kama una sifa hiz karibu;

1. Uwe muislamu

2. Uwe na rangi atlest uwe mweupe

3. Kazi sio muhimu maana mimi ninayo

4. Awe na upendo na umri asizid miaka 30

MIMI HAPA SASA ni kijana mwenye miaka 34 na sifa zingine ni kama ifuatavyo:

1. Mimi ni mfanyakazi hivyo uhakika wa maisha upo

2. Muislamu

3. Nina upendo sana na familia na sina mtoto

NB naomba waje watu serious maana niko serious na hapa ukija issue ni moja tu ndoa
 
Back
Top Bottom