Mke bora (wife material) mwanasheria anahitajika

Mke bora (wife material) mwanasheria anahitajika

THE BROKER

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
743
Reaction score
915
Mimi ni Kijana mchapakazi, mjasiriamali aliyeenda shule ya kutosha na mwenye mtazamo chanya kimaisha. Nahitaji mchumba wa kweli mwenye shahada ya sheria (Advocate). Aliyeko tayari ani PM tutawasiliana
 
Wanakuja ........
wanasheria njoon huku...
 
Na hivi law school inawaweka mtaani na serikali haiwaajiri kwa kasi kubwa,na soko la uwakili gumu,utawapata,Ila akipata kazi utatomb ewa,wanasheria wanawake wengi Malaya wa kutupwa
 

Attachments

  • 10382736_748237478561514_7259013765052077992_n.jpg
    10382736_748237478561514_7259013765052077992_n.jpg
    52.8 KB · Views: 162
Mke mwema hutoka kwa Mungu. Binadamu ni dynamic, hubadilika kutegemea na hali ....Mwenye hofu ya Mungu na dhamira njema siku zoye hudumu.
 
Back
Top Bottom