THE BROKER
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 743
- 915
mke wangu ni Lawyer rahasana kuishi nao,wenyewe wana msemo wao "beautifull women are lawyers"
jamaniDuh! Mnatafuta wake kama wafanyakazi
UbarikiweMke mwema hutoka kwa Mungu. Binadamu ni dynamic, hubadilika kutegemea na hali ....Mwenye hofu ya Mungu na dhamira njema siku zoye hudumu.
Wanasheria wamekosa BahatiNi kawaida kabisa