Mke halali wa Akon vs michepuko yake

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Huyu ndiye mke wa ndoa wa Akon aliezaa nae watoto watano. Walifahamiana tangu wakiwa na miaka 20. Watoto wengine wanne amezaa nje ya ndoa



Hawa ni baadhi ya michepuko wa Akon

 
Dah kumbe Akon ni shemeji yetu, huyo aliye na tatoo kifuani kushoto sio Irene huyo jamani?

Saafi
 
Mke hana nuru moyoni kabisa, ni mrembo lkn mumewe hata hajali hisia zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…